English

KARIBU STRAIGHTBOOK


Programu Bora Kabisa Ya Kusimamia Biashara Yako, Rahisi & Salama Kuitumia

StraightBook ni Mfumo (Program) Ya Usimamizi Wa Biashara au Uhasibu Unaotumiwa Katika Biashara Zaidi Ya 1500+ Duniani Kote.
Ndio Program Pekee Ya Kibiashara Iliyotengenezwa Africa Inayotumiwa Nchi Za Magharibi Kwa Sababu:
  Ni Rahisi Sana Kuitumia!
 Unaweza Kuutumia Utakavyo!
 Gharama Nafuu Kwa Wote!
 Umeboreshwa Zaidi!
 Unatoa Ripoti Nyingi Sana

Tumia StraightBook App Katika Simu Yako, Ipo Google Play Store


NGUVU ZA STRAIGHTBOOK ZISIZO NA MPINZANI

StraightBook ina Uwezo Wa Kusimamia Biashara Yako Yote

RIPOTI ZAIDI YA 300+

StraightBook Inaweza Kukuandalia Ripoti Za Biashara Yako Zaidi Ya 300+ Ili Wewe Ufanye Maamuzi Sahihi Na Kwa Wakati Kukuza Biashara Yako. Ndio Program Inayotoa Ripoti Nyingi Zaidi!

INARUHUSU STOCK YOYOTE HATA KAMA UNAUZA BIDHAA NYINGI SANA

Kwa Kutumia StraightBook Unaweza Kusimamia Stock Zako Zote Na Kupata Taarifa Kuhusu Stock Ya Kila Bidhaa Iliyopo, Bidhaa Zinazokaribia Kuisha, Zinazokaribia Kuexpire, Zinazouzwa Sana, Ambazo Hazitoki Nk. Pia StraightBook Inaruhusu Barcode

UNAWEZA KUSET STRAIGHTBOOK KUITUMIA UTAKAVYO

Unaweza Kupunguza Mambo Yakawa Machache au Kuongeza Yakawa Mengi Utakavyo Wewe. Pia Unaweza Kupanga Kila Mtu Anaeingia Katika Akaunti Yako Aweze Kufanya Nini Mfano Kurekodi Mauzo, Stock n.k Na Kile Ambacho hukumruhusu Kamwe StraightBook Haitamkubalia.

Mambo Usiyoyajua Kuhusu StraightBook

Haya Ni Mambo Yanayoweza Kukushangaza Kuhusu StraightBook

StraightBook Ilitengenezwa Na Muhandisi wa Program Wa Afrika Kuanzia Mwaka 2012 Hadi 2017

Umeshangaa? Ndio, Program Kubwa Kama Hii Iliweza Kutengenezwa Kwa Miaka 5 Mfululizo Na Mhandisi Wa Mifumo Ya Computer Mtanzania Aitwae Mr. Bukhary Kibonajoro (B.Sc in Computer Science, University of Dar es Salaam). Alianza Kuutengeneza Mwaka 2012 Baada Tu Ya Kumaliza Chuo Kikuu Ili Baadae Aanzishe Kampuni Ya Software Ambayo Ndio StraightBook Kwa Sasa. Hadi Sasa Bado Anaongoza Kundi La Wahandisi Wenye Vipaji Watengezaji Wa Mifumo Ya Computer Katika Kutengeneza Mfumo Huu Katika Kampuni Hii.

StraightBook Ndio Mfumo Pekee Wa Biashara Uliotengenezwa Afrika Na Kuvutia Wafanyabiashara Wa Ulaya Na Marekani

Kwa Sasa StraightBook Inatumiwa Nchi Mbalimbali Duniani Kama Marekani, Uingereza, Australia, Ufaransa, Ujerumani, Canada, Malaysia, Italy n.k. Inatumiwa Katika Biashara Zaidi Ya 650 Duniani Kote Na Ni Mfumo Wa Biashara Uliotengenezwa Afrika Unaoongoza Kutumiwa Tanzania na Afrika Kwa Sasa

StraightBook Ndio Mfumo Wa Biashara Unaotumika Mtandaoni Ulio Bora Zaidi

Amini Usiamini Mfumo Huu Unaongoza. Mtengenezaji Wa Mfumo Huu Alijaribu Mifumo Mingine Ya Biashara Inayotumika Mtandaoni Ikiwemo QuickBooks Online, Xero, FreshBooks, ClearBooks, Wave Accounting, Intacct, Move2Cloud, Big4Books n.k Kwa Sababu Moja Tu :- Kuangalia Madhaifu Yao Na Kuja Na Mfumo Bora Zaidi Ambao Ndo Huu Wa StraightBook Utakaokuwa Na Mambo Mengi Zaidi Ya Mifumo Hiyo Bila Kupoteza Urahisi Na Usalama Katika Kuutumia

StraightBook Inaongoza Kwa Kukuwezesha Kuset Kutumia Unavyotaka

Hii Ni Kweli Kabisa. Unaweza Kuchagua Kitu Chochote Unachotaka Kutumia Na Kuondoa Usichotaka Kutumia au Kuongeza Utakavyo Wewe. Unaweza Kupanga Mtumiaji Gani Aweze Kufanya Nini Katika Akaunti Yako Katika Mambo Yote Yanayopatikana Katika Mfumo Huu Tofauti Na Mifumo Mingine Inayokuwezesha Kuset Katika Baadhi Ya Mambo Tu.